Categorie
Poetry
Winkel
Wordery
Merk
African books collective
Kifaurongo : Mkuki na Nyota Publishers : 9789987753710 : 998775371X : 25 Jun 2023 : Diwani hi ina mashairi mseto yatakayomwezesha msomaji kujitanua bila ukinzani wa uguni na usiguni, usasa na umapokeo; hivyo azingatie fani, maudhui na muktadha. Dhana zilizodokezwa ni ukoloni mamboleo, usaliti, mila potofu, ukatili, unyanyasaji wa kijinsia, haki za mtoto, UKIMWI, rushwa, kiwi ya akili, uwajibikaji na nyinginezo. Christopher Bundala Budebah alizaliwa mwaka 1956 huko Maswa, Simiyu. Ni mhitimu wa M.A Kiswahili, Stashahada ya Uzamili ya Ualimu, Shahada ya Kwanza ya Sanaa za Maonyesho na Cheti cha Sanaa za Maonyesho. Mbali na tuzo ya Mabati, mwandishi aliwahi pia kushinda tuzo ya uandishi wa kazi za fashi kwenye shindano la Jubilei ya miaka 75 ya TUKI.
24.99 EUR
Aanbevelingen
Choose your language and region
Klarna is available around the world with a variable offering, choose one that suits you best.
Copyright © 2005-2024 Klarna Bank AB (publ). Headquarters: Stockholm, Sweden. All rights reserved. Klarna Bank AB (publ). Sveavägen 46, 111 34 Stockholm. Organization number: 556737-0431